Monday, November 14, 2016

TFS YATOA MADAWATI KWA UONGOZI WA WILAYA

Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Bwana Jacob Kassema akimkabidhi madawati 80 Mkurugenzi Mtendaji Bwana Yusuf Semuguruka ikiwa ni msaada uliotolewa na Wakala wa Misitu Wilaya ya Ulanga.

No comments:

Post a Comment